SUPERFLY ni moja kati ya movie za kimarekani zilizotoka mwaka 2018, DIRECTOR X akiwa ndiye director wa movie hii,director x sio jina geni maskioni kwa watu sababu yeye ni director wa nyimbo nyingi za kimarekani, mwaka 2018 DIRECTOR X aliweza kutengeneza film ya superfly kwa bajeti ya 16 millioni za kimarekani akimweka Trevor Jackson, Jason Mitchell, Michael K.Williams, Lex Scott Davis, and Jennifer Morrison.
Movie imetengenezwa kwa kuwahusisha actors ambao wengi ni rappers kama FUTURE, movie iliachiwa rasmi tarehe13 mwezi wa 6 mwaka 2018.Movie imeangaliwa sana ndani ya muda mfupi tuu katika nchi mbalimbali duniani na kutengeneza pesa nyingi,
No comments