TRENDING POSTS

STAA WA LEO: TONY JAA



Tatchakom Yeerum, ndo jina alilopewa na wazazi wake japo watu wengi wanamjua kwa jina la TONY JAA pia huko nchini Thailand wanamjua zaidi kwa jina la Jaa phanom. TONY JAA amezaliwa  tarehe 5 mwezi wa pili mwaka 1976 katika jimbo la Surin lililopo  ndani ya nchi a Thailand, ana ujuzi wa kupigana, (Martial artist ), amejifunza tamaduni za ubudha (Budhist monk) pia ni muongozaji wa kutengeneza filamu ( director), 


Tony Jaa na mke wake Piyarat Chotiwattananont wana mtoto mmoja anayeitwa Hataipavee Yeerum. Tony  Jaa  kaigiza movie kama xXx return of  xander cage, Ongbak 1-3,The protector na nyingine nyingi zilizo changia utajiri wake alionao sasa wa dola za kimarekani milioni 10, filamu mpya alizocheza mwaka 2018 ni Paradox na  Triple threat. 

2 comments: