Shindano la kutafuta mrembo wa dunia wa mwaka 2018, linalojulikana kwa kimombo kama "MISS WORLD 2018" limefanyika leo Nchini China katika mji wa Sanya. ikiwa ni mara ya 68 tangu kuanzishwa kwa shindano ilo mwaka 1951,leo dunia nzima imeshuhudia Manush Chhillar wa India ambaye alikuwa ni "MISS WORLD" aliyepita akimkabidhi taji la urembo wa dunia Vanessa Ponce De leon (juu pichani) kutoka mexico, Sasa dunia imepata Mrembo mpya.
MISS WORLD 2018: VANESSA PONCE DE LEON
Reviewed by DJ MYCOL
on
December 08, 2018
Rating: 5
No comments