TRENDING POSTS

JE ? WAJUA : SIFA ZA TEMBO, MNYAMA MKUBWA KULIKO WOTE ARDHINI

Image result for TEMBO

FAHAMU MACHACHE USIYOYAJUA KUHUSU TEMBO

1. Tembo, Pamoja na ukubwa wake, akitembea hana kishindo kabisa. Miguu yake kwa chini ni kama ina sponji hivi.
2. Tembo ana uzito wa tani 7
3. Tembo jike hubeba mimba miaka 2
4.Tembo mtoto huzaliwa akiwa na kilo 80
5. Chakula cha tembo kwa siku ni kilo 300 na maji lita 40
6. Uume wa tembo una kilo 27, ukimuona wakati anafanya mapenzi kwa nyuma unaweza kuhisi ana miguu mitatu.
7. Ni moja kati ya wanyama ambao hawapendi kelele
8. Wastani wa umri wake wa kuishi ni miaka 60.
9. Tembo hufanya mapenzi kwa masaa 12. Masaa 6 ya mwanzo huyatumia kumuandaa manzi wake, na 6 yanayobaki ndio shughuli yenyewe. Na hiyo ni ile raundi ya kwanza (bao ya kwanza) huko town hii hata kwa dawa haiwezekani..masaaa sita???
10. Tembo dume huwa na wanawake wawili mpaka wanne
11. Akipiga bao tembo dume manii zake ni ujazo wa lita tano hiv au zaidi.


No comments