STAA WA LEO: SCOTT ADKINS
Scott Edward Adkins ni mzaliwa wa nchi ya uingereza mahali panapoitwa sutton coldfield, Alizaliwa tarehe 17 mwezi wa 6 mwaka 1976 ni moja kati ya waigizaji wanaojua mbinu mbalimbali za kupigana ( martial artist), Adkins anajulikana sana kwa kucheza/kuigiza kama mpiganaji wa kirusi akiigiza kwa jina la Yuri Boyka mwaka 2006 kwenye filamu/movie ya UNDISPUTED II na III na zinginezo zilizompa umaarufu mkubwa.
Scott Edward Adkins na mke wake Lisa adkins wana mtoto mmoja anayeitwa Carmel adkins, wana utajiri wa dola millioni mbili za kimarekani, chanzo cha utajiri kikiwa ni uigizaji.
No comments