TRENDING POSTS

STAA WA LEO:TREVOR JACKSON

                                     




Trevor Howard Lawrence Jackson ni mzaliwa wa nchi ya marekani katika (county) jimbo la indianapolis, alizaliwa tarehe 30 mwezi wa 8 mwaka 1996, ana vipaji tofautitofauti ni muigizaji, dancer pia  muandishi wa nyimbo za aina mbalimbali, ameigiza series(tamthliya) mbalimbali kama vile syfy series aliyocheza kwa jina la Kevin Blake, amecheza kama Kris Mcduffy  kwenye movie ya disney inayoitwa LET IT SHINE.

Japo kaigiza movie nyingi  kama vile American crime, grownish, A beautiful soul na nyinginezo,TREVOR JACKSON, kajipatia umaarufu mkubwa mwaka 2018 kwa kuigiza kama Youngblood Priest  katika movie ya SUPERFLY iliyotoka mwezi wa sita mwaka 2018.
Trevor jackson kaimba nyimbo kama vile good enough, unpacking, right now,apocalypse na nyinginezo nyingi zinazotamba                                                   



No comments